Habari za Punde

MAMBO YALIVYOKUWA KWENYE KIKAO CHA BAJETI WAKATI WA MAPUMZIKO

VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA ZANZIBAR WAKIBADILISHANA MAWAZO BAADA YA KUMALIZIKA KWA HOTUBA YA BAJETI YA SERIKALI YA MWAKA 2009 - 2010.
NAIBU WAZIRI KIONGOZI NA WAZIRI WA HABARI UTAMADUNI NA MICHEZO ALI JUMA SHAMHUNA AKIWA NA BALOZI MDOGO WA INDIA ALIOPO ZANZIBAR WAKIBADILISHANA MAWAZO BAADA YA KUMALIZIKA KUSOMWA BAJETI YA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.