Habari za Punde

ZANZIBAR NJEMA.... INAZIDI KUN'GARA AU (KUN'GARISHWA?)

JENGO LA ZSTC - ZANZIBAR STATE TRADING CORPORATION LILIOPO KINAZINI. TUNAJITAHIDI SI HABA
JENGO LA MFUKO WA HIFADHI YA JAMII ZSSF - ZANZIBAR SOCIAL SECURITY FUND LILIOPO KILIMANI MNARA WA MBAO NALO PIA LIMO KATIKA KUNAWIRISHA MJI AU JIJI?



JENGO LA BOT HAPO KINAZINI NI MOJAWAPO KATIKA MAJENGO YANAYONAWIRISHA MJI WA ZANZIBAR



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.