NAJUA KWA WENZETU MAMBO HAYA YOOTE SASA HUWA KWENYE DATA BASE NA KUHIFADHIWA KWENYE COMPUTER.
ILA SISI KIDOGO NAONA KAMA TUMERUDI NYUMA MAANA TULIKUWA NA VYETI HALISI HUKO ZAMANI
INSHAALLAH NASI TUTAFIKA INGAWA TUTAHITAJI TUWAKIMBILIE WAKATI WENZETU BADO WANATEMBEA
No comments:
Post a Comment