Habari za Punde

UTIAJI WA SAINI UTANDAZAJI WA WAYA MPYA WA UMEME ZANZIBAR.

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK. AMANI ABEID KARUME AKISALIMIANA NA BALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA ALFONSO LEINHARD, WAKATI WA HAFLA YA SAINI YA UWEKAJI WAYA MPYA WA UMEME ZANZIBAR KUTOKA TANZANIA BARA UNAOFADHILIWA NA MCC YA MAREKANI.
RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK. AMANI ABEID KARUME AKISALIMIANA NA MAWAZIRI WAKE KATIKA HAFLA YA UTIAJI WA SAINI UWEKAJI WAYA MPYA WA UMEME KUTOKA TANZANIA BARA KUJA ZANZIBAR.

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK. AMANI ABEID KARUME AKISALIMIANA NA UJUMBE WA MCC KATIKA HAFLA YA UTIAJI SAINI UWEKAJI WAYA MPYA WA UMEME ZANZIBAR KUTOKA TANZANIA BARA.
RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK. AMANI ABEID KARUME AKIBADILISHANA MAWAZO NA BALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA ALFONSO LEINHARD, KATIKA HAFLA YA UTIAJI WA SAINI UTANDAZAJI WAYA MPYA WA UMEME ZANZIBAR KATIKA HAFLA ILIOFANYIKA IKULU YA ZANZIBAR. NA KUHUDHURIWA NA VIONGOZI MBALIMBALI WA CHAMA NA SERIKALI.
BERNARD MCHOMVU (KULIA) AKITALIANA SAINI MKATABA WA UTENGENEZAJI NA USAMBAZAJI WAYA MPYA WA UMEME KUTOKA TANZANIA BARA KUJA ZANZIBAR NA MWAKILISHI WA KAMPUNI YA VISCAS YA JAPAN TETSUJI OHNO, KATIKA HAFLA ILIOFANYIKA IKULU MJINI ZANZIBAR JANA, WANAOSHUHUDIA NI RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI, DK. AMANI ABEID KARUME, BALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA ALFONSO LEINHARD NA WAZIRI WA MAJI, UJENZI, NISHATI NA ARDHI MANSOOR YUSSUF HIMID. KUSHOTO.

MTENDAJI MKUU WA MCA-T BERNARD MOHOMVU (KULIA) AKIBADILISHANA HATI NA MWAKILISHI WA KAMPUNI YA VISCAS YA JAPAN TETSUJI OHNO BAADA YA KUTILIANA SAINI MKATABA WA UTANDAZAJI WAYA WA UMEME BAHARINI KUTOKA TANZANIA BARA, HAFLA HIYO IMEFANYIKA IKULU YA ZANZIBAR NA KUSHUHUDIWA NA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK. AMANI ABEID KARUME.
WAZIRI WA MAJI UJENZI ARDHI NA NISHATI MANSOOR YUSSUF HIMID AKIZUNGUMZA KWA NIABA YA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR NA WANANCHI WA ZANZIBAR KATIKA HAFLA HIYO YA UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI NA UTNDAZAJI WAYA MPYA WA UMEME KUTOKA TANZANIA BARAKUJA ZANZIBAR ILIOFANYIKA IKULU YA ZANZIBAR.
BALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA ALFONSO LEINHARD AKIZUNGUMZA KWA NIABA YA NCHI YAKE AMBAYO KUPITIA MPANGO WAKE WA MCC UMEFADHILI MRADI HUO WA UWEKAJI WAYA MPYA WA UMEME KUTOKA TANZANIA BARA KUJA ZANZIBAR KATIKA HAFLA HIYO YA UTIAJI SAINI UTEKELEZAJI WA KAZI HIYO YA KUTANDAZA WAYA HUO BAHARINI IMEFANYIKA IKULU ZANZIBAR.

WATENDAJI WA MCC WAKIWA KATI HAFLA YA UTIAJI WA SAINI YA UWEKAJI WA WAYA MPYA WA PILI BAHARINI KUTOKA TANZANIA BARA KUJA ZANZIBAR.
MKURUGENZI MTENDAJI WA MCA-T BERNARD MUHOMVU AKISOMA RISALA KUHUSIANA NA MIRADI INAYOFADHILIWA NA MCC NCHINI TANZANIA WAKATI WA HAFLA YA UTILIANAJI SAINI IKULU ZANZIBAR.

MWAKILISHI WA KAMPUNI YA VISCAS YA JAPAN TETSUJI OHINO AKITOWA MAELEZO BAADA YA HAFLA YA KUTILIANA SAINI MKATABA WA KUTENGENEZA NA KUTANDAZA WAYA WA PILI WA UMEME BAHARINI KUTOKA TANZANIA BARA KUJA ZANZIBAR HAFLA ILIOFANYIKA IKULU YA ZANZIBAR.

WAZIRI KIONGOZI WA ZANZIBAR SHAMSI VUAI NAHODHA (KUSHOTO) AKIWA MIONGONI MWA MAWAZIRI WA ZANZIBAR WALIOHUDHURIA HAFLA HIYO KUTIA SAINI UWEKAJI WAYA MPYA WA UMEME KUPITIA BAHARINI KUTOKEA TANZANIA BARA,WAZIRI WA ELIMU, MAFUNZO YA AMALI HARUON ALI SULEIMAN, WAZIRI WA MAJI UJENZI NISHATI NA ARDHI MANSOOR YUSSUF HIMID, WAZIRI WA NCHI AFISI YA RAIS IKULU ANAYESHUGHULIKIA FEDHA MWINYIHAJI MAKAME, WAZIRI AFISI YA WAZIRI KIONGOZI HAMZA HASSAN.
. WATENDAJI WA MRADI WA MCC NA MCA-T WAKIWA KATIKA HAFLA YA UTIAJI WA SAINI MKATABA WA UTANDAZAJI BAHARINI WAYA WA PILI WA UMEME KUTOKA TANZANIA BARA KUJA ZANZIBAR HAFLA HIYO IMEFANYAKA IKULU ZANZIBAR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.