Habari za Punde

KUMBUKUMBU YA KUFUNGULIWA CHUO CHA KARUME MBWENI

RAIS wa kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Abeid Amani Karume mwenye kofia nyeupe na nguo nyeupe akiwa pamoja na Mwalimu Nyerere katika ufunguzi wa Chuo cha Ufundi Karume (Karume Technical College) mwaka 1969 huko Mbweni.
Wenye date watujuze Waheshimiwa wengine waliokuwepo siku hiyo.
Azma ya Mheshimiwa Karume ilikuwa Chuo hiki kije kutoa wataalamu wa fani mbali mbali katika Ufundi waweze kusaidia maendeleo ya Nchi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.