Habari za Punde

CHATU AUWAWA

CHATU mkubwa anayekisiwa kuwa na urefu wa futi sita na nusu ameuliwa na wananchi karibu na kituo cha Polisi Unguja Ukuu jana baada ya kusadikiwa kula kuku wa mwananchi mmoja kijijini hapo.
Chatu kama huyo pia aliuliwa ndani ya banda la kuku la Mwalimu mmoja wa Skuli ya Unguja Ukuu hivi karibuni baada ya kuwauwa kuku watatu wa mwalimu huyu.
Pichani chatu huyu akiwa pembezoni mwa barabara karibu na kituo hicho.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.