Habari za Punde

RAIS WA ZANZIBAR AHUTUBIA BARAZA LA EID UL FITR JUMBA LA WANANCHI FORODHANI ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar akisalimiana na wananchi waliohudhuria baraza la Eid Kitaifa Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar akisalimiana na Balozi Mdogo wa Msumbiji aliyeko Zanzibar katika viwanja vya Jumba la Wananchi Forodhani baada ya kutowa hutuba ya baraza la Eid.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Amani Abeid Karume akimsalimia mtoto akiwa na mzazi wake aliyefika katika maadhimisho ya Baraza la Eid, iliofanyika kitaifa Zanzibar Nyumba ya Wananchi Forodhani.


Wananchi wakipata viburudisho baada ya kumalizika kwa hutuba ya Rais wa Zanzibar aliyoitowa katika Baraza la Eid.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk Amani Abeid Karume akisalimiana na Wananchi waliohudhuria baraza la Edd, lililofanyika katika ukumbi wa Nyumba ya Wananchi Forodhani.

WANAFUNZI wa Madrasa wakisoma kasida katika maadhimisho ya baraza la Eid yaliofanyika katika jumba la wananchi Forodhani.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.