NAIBU KATIBU MKUU ZUHURA ARIDHISHWA NA MAANDALIZI YA KILELE CHA MBIO ZA
MWENGE WA UHURU 2025 MBEYA
-
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye
Ulemavu Zuhura Yunus akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Mkoa wa Mbeya
wakati wa zia...
1 hour ago
@Mapara,
ReplyDeleteHaki ya Mungu hii picha imenishughulisha, nilituwa naitafuta Rahaleo ipi mbona hapaelekei? Mpaka nilipoikuza picha inakugundua kuna mabadiliko fulani hivi, hii Round about hapo siikumbuki vizuri itakuwa mpya...kama eneo la Rahaleo lenyewe ni mkabala wa makutano ya barabara inayotoka kwa Bi Ziredi kuja Kariakooo, kulia kwake kuna Skuli ya Mw'shauri na mbele yeke kuna kariakoo, huku ukipinda kushoto unaelekea posta na kulia unaelekea Michenzani. Natumai sijakosea. Naimiss zanzibar kweli.
Mdau Misri
Kama hujaja zamani huwezi kuikumbuka imeongezwa Raundi about nyengine pale sasa ziko mbili kwani ilikuwa usumbufu baadhi ya magari yanayotoka Posta kupinda kuelekea Biziredi.
ReplyDeleteAhsante Mdau