Habari za Punde

MZEE WA BLOG AKIHABARISHA


MZEE wa Blog akiwa katika harakati za kuwahabarisha wadau wa habari matokeo ya Uchaguzi wa Zanzibar akiwa katika Ukumbi wa Salama Bwawani hoteli. mambo haya ya mtandao yamefadhiliwa na Shirika la UNDP.

2 comments:

  1. Mapara umefanya kazi nzuri leo hongera sana! na pole kwa machofu.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.