WANACHAMA wa Chama cha Mapinduzi wakishangilia kuapishwa kwa Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete Uwanja wa Uhuru mjini Dar-es Salaam
WANANCHI wakiimba Wimbo wa Taifa wakati wa sherehe za kumuapisha Rais wa Tanzania.
RAIS Mteule akiwapungia mikono Wananchi waliohudhuria sherehe za kuapishwa akiingia uwanjani akiwa katika gari ya Jeshi akiwa na Mkuu wa Majeshi.
No comments:
Post a Comment