Habari za Punde

NJIWA NI MOJA YA MIFUGO KWA VIJANA ZANZIBAR

VIJANA hawa wakiwa katika moja ya soko wakichagua njiwa kwa ajili ya kufuga njiwa wa aina hii ya njIwa manga ni adimu kupatikana pea moja huuzwa shilingi 20,000/=

2 comments:

  1. Njiwa hutumika zaidi kama bustani ya ndege, Nimebahata kuwapambia watu nyumba zao bustani hii kama bustani nyegine, Tembelea instagram jina mwarabu_njiwa mawasiliano 065217772

    ReplyDelete
  2. Nina take kuagiza pea moja

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.