RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Katibu Mtendaji Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana Zanzibar Sheikh Abdalla Talib, alipowasili katika viwanja vya Masjid Jamiu Zinjibar, kwa ajili ya kuwaaga Mahujaji Watarajiwa wa Zanzibar na (kushoto kwake) Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali, hafla hiyo iliyofanyika leo 17-5-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa nasaha zake, wakati
wa Semina ya kuwaaga Mahujaji Watarajiwa
wa Zanzibar wanaotarajiwa kuondoka mwezi huu kuelekea Saudi Arabia kwa ajili ya
Hijja, iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja leo 17-5-2025.
No comments:
Post a Comment