Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amejumuika na Viongozi wa Serikali na Wananchi Katika Maziko ya Charles Martin Hilary Yaliyofanyika Katika Makaburi ya Mwanakwerekwe Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya makaburi ya Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kuhudhuria maziko ya Marehemu Charles Martin Hilary, aliyekuwa Mkurugenzi Mawasiliano Ikulu Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali yaliyofanyika leo 14-5-2025 na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa 










 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.