Habari za Punde

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amkaribisha Tanzania mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Finland Mheshimiwa Alexender Stubb ambaye amewasili nchini kwa ziara ya kitaifa ya siku tatu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo rasmi na ujumbe wa Finland ulioongozwa na Rais wa Nchi hiyo Mhe. Alexander Stubb, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Mei, 2


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.