Habari za Punde

MAADHIMISHO YA SIKU YA HABARI DUNIANI YAFANYIKA ZANZIBAR.

Mgeni Rasmi Mkufunzi na Mwandishi wa Habari Mwandamizi Salim Said Salim akitoa hotuba ya Ufunguzi katika hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari Duniani yaliofanyika katika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.

Mkurugenzi Habari Maelezo Salum Ramadhan Abdalla akizungumza  kuhusiana na Sheria ya Habari katika hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari Duniani yaliofanyika katika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.

Makamu Mwenyekiti Baraza la Habari Tanzania(MCT)Yussuf Khamis Yussuf akizungumza kuhusiana na Uweledi wa Waandishi wa Habari katika hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari Duniani yaliofanyika katika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.
Katibu wa Zanzibar Press Club (ZPC)Mwinyimvua Abdi Nzukwi akitoa Hotuba ya Makaribisho katika hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari Duniani yaliofanyika katika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.
Msimamizi wa Baraza la Habari Tanzania Ofisi ya Zanzibar Ziada Kilobo akitoa salamu za Baraza katika hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari Duniani yaliofanyika katika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.
Mkurugenzi Habari Maelezo Salum Ramadhan Abdalla(Kulia)akibadilishana mawazo na Makamu Mwenyekiti Baraza la Habari Tanzania(MCT)Yussuf Khamis Yussuf katika hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari Duniani yaliofanyika katika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.

Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika  hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari Duniani yaliofanyika katika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.
Mkufunzi Chuo cha Habari Zanzibar (SUZA)Imane Duwe akiwasilisha mada kuhusiana na Kipi Kifanyike ili kuweza kupata Habari sahihi katika Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari Duniani yaliofanyika katika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.
Afisa Habari Tume ya Uchaguzi Zanzibar Juma Sanifu akiwasilisha mada kuhusiana na Haki ya Kuripoti Uchaguzi katika hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari Duniani yaliofanyika katika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.

Mdau wa Habari Dk Hassan Issa akiwasilisha mada katika hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari Duniani kuhusiana na Ulinzi na Usalama wa Waandishi wa Habara wakati wa Uchaguzi hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.

Mwandishi wa Habari wa Zenj Fm Berema Suleiman Nassor akiuliza maswali katika hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari Duniani yaliofanyika katika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.

Afisa Habari Kutoka ZAMECO Jabir Idrissa akiuliza maswali hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari Duniani yaliofanyika katika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.

Mkurugenzi Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake(TAMWA)Mzuri Issa Ali akielezea  Maazimio katika hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari Duniani yaliofanyika katika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI,MAELEZO ZANZIBAR.17/05/2025.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.