Habari za Punde

MAZIKO YA DK. SULEIMAN ABOUD JUMBE MIGOMBANI ZANZIBAR,

RAIS Mstaafu Aboud Jumbe Mwinyi (aliyekaa) akipewa mkono wa Taazia na viongozi wa serikali
SHEKH Habibu Ali Kombo akiongoza Sala ya kusalia maiti.  
 WANANCHI wakibeba jeneza la mwili wa Marehemu Dk. Suleiman Aboud Jumbe.  
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akijumuika na Waumini wa dini ya Kiislamu na Wananchi katika maziko ya Mtoto wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Alhaj Aboud Jumbe Mwinyi yaliofanyika nyumbani kwake Migombani.
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiweka mchanga kaburini.  

RAIS Mstaaf wa Zanzibar Dk, Amani Abeid Karume akiweka mchanga katika kaburi

WAUMINI wa  Dini ya Kiislamu na Wananchi wengine waliohudhuria maziko ya Dk. Suleiman Jumbe wakiitikia duwa maadayta kumalizika mazishi yaliofanyika nyumbani kwao migombani.

NAIBU Kadhi wa Zanzibar Shekh. Khamis Haji akisoma duwa baada ya mazishi wa Mtoto wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Sheikh. Aboud Jumbe katika makaburi yao Migombani.
 Wa kwanza kulia Makamo wa Rais wa Tanzania Mohamed Gharib Bilal, Raisa wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharuf Hamad, Rais Msataaf wa Zanzibar Dk. Amani Abeid Karume.    

Dk Suleiman Jumbe alifariki nchini India ambapo alimepeleka mzazi wake kwa matibabu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.