RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Kadhi Mkuu wa Zanzibar
Sheikh. Hassan Othman Ngwali alipowasili katika viwanja vya Masjid Jamiu
Zinjibar Mazizini Zanzibar, kuhudhuria Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea
Marehemu Hamisa Salmini Amour Juma, mtoto wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Alhajj
Dkt. Salmini Amour Juma, iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini
Zanzibar na (kushoto kwa Kadhi Mkuu ) Amini Salmini Amour
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi katika kisomo cha
hitma kumuombea Marehemu Hamisa Salmini Amour, Mtoto wa Rais Mstaafu wa
Zanzibar Alhajj Dkt.Salmini Amour Juma iliyofanyika katika Masjid Jamiu
Zinjibar Mazizini Zanzibar, na (kushoto kwa Rais) Kadhi Mkuu wa Zanzibar
Sheikh.Hassan Othman Ngwali na (kulia kwa Rais) Amini Salmini Amou.r

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi,akisalimiana na kutowa mkono wa pole kwa Familia ya Rais Mstaafu wa Zanzibar Alhajj Dkt.Salmini Amour Juma, baada ya kumalizika kwa kisomo cha hitma na dua ya kumuombea Marehemu Hamisa Salmini Amour, iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Zanzibar
No comments:
Post a Comment