MWENYEKITI wa Mnazi Marketing Center Asha Khalfan Mohammed akimuonesha mshauri wa masoko ya bidhaa za Wajasiriamali Tanzania Zarina Kitule alipofanya mazungumzo na Wajasiriamali wa Bidhaa za Mnazi Zanzibar katika ukumbi wa hoteli ya bwawani Zanzibar.
WANAWAKE Wajasiriamali wakimsikiliza Mtaalamu wa masoko wa Shams Consultancy ya Dar-es- Salaam Cheif Excutive Officer Mrs. Zarina Kitule. akizungumza na Wajasiriamali wa Mnazi Marketing Centre, katika Ukumbi wa Hoteli ya Bwawani.
VILEJA mdau hivi vinatokana na ile kitu ya Nazi .
KASHATA za Nazi ni moja ya bidhaa zitokanazo na mnazi jinsi mnazi unavyotumika kutowa bidhaa mbalimbali hapa Zanzibar.
HIZI ndizo bidhaa za mnazi zikiwa katika hali ya herini na bangili na viatu vilivyotumiwea kwa um
BIDHAA za Mnazi zinazotengenezwa na Vikundi vya Kinamama wa Zanzibar vkatika vikundi vya Wajasiriamali Wanawake wakiobnesha bidhaa hiyo ya Mshauri wa Bidhaa hiyo Bwawani.
No comments:
Post a Comment