Habari za Punde

LIGI DARAJA LA KWANZA BLACK SAILOR YAILAZA BRIDGE 1-0


MSHAMBULIAJI wa timu ya Black Sailor Khamis Mohammed akimpita beki wa timu ya Bridge  katika mchezo wa ligi daraja la kwanza timu ya Black Sailor imeshinda kwa bao 1-0
MSHAMBULIAJI  wa timu ya Black Sailor Mwinyi Ameir  akimpita beki wa timu ya Bridge Said Hassan katika mcezo wa ligi ya Daraja la Kwanza  uliofanyika uwanja wa Mao, Black Sailor imeshinda  1-0.  
Mchezaji wa Timu ya Black Sailor  Salum Mjaka akimpita Beki wa timu ya Bridge Said
Hassan  katika mchezo wa ligi daraja la Kwanza uliofanyika uwanja wa Mao timu ya Black Saloir  imeshinda bao 1- 0.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.