Habari za Punde

LIGI DARAJA LA KWANZA UNGUJA.

MSHAMBULIAJI wa timu ya Mlandege Said Kuzu akimpita beki wa timu ya Bridge. 
MCHEZAJI wa timu ya Mlandege Ramadhani Kidilu akiwania mpira mbele ya mabeki wa timu ya Bridge  katika mchezo wa ligu daraja la kwanza uliofanyika uwanja wa Mao timu ya Mlandege imeshinda 1-0.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.