Habari za Punde

VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA KIVUTIO CHA WATALII.

MTEMBEZA Watalii katika kisiwa cha Pemba  akiwa na mtalii huyo akimtembeza katika  maeneo ya kisiwa hicho na kujipatia bidhaa za asili ya kisiwa hicho ya Makawa ikiwa ni moja ya vivutio vya watalii katika Visiwa vya Zanzibar. Tour Guide akiwajibika pekupeku bila ya hata viatu Mzungu mtalii akiwa na makawa..

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.