MWANAFUNZI wa Chuo hicho akichangia mada ya matumizi ya dawa za kulevya kwa Vijana jinsi ya maambukizo ya Ukimwi.
AFISA kutoka Kitengo cha Ukimwi Zanzibar Sihaba Saadat akitowa mada ya jinsi ya maambukizo ya Ukimwi yanavyopatikana kwa Vijana wanaotumia dawa za kulevya kwa kutumia shindamo moja kutumia zaidi ya mtu mmoja.
AFISA wa Jumuiya ya ZAYEDESA Mgoli Lucian akichokoza mada ya maambukizo ya Ukimwi na jinsi gani ya kuweza kuzuiya maambukizo hayo.
BAADHI ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Elimu Chukwani wakiwa bizzz na mada ya maambukizo ya Ukimwi na Matumizi ya Dawa za Kulevya ilioandaliwa na Jumuiya ya ZAYEDESA kwa kushirikiana na Watu wa Marekani na ICAP.
No comments:
Post a Comment