Habari za Punde

UIMARISHAJI WA MIUNDOMBINU PEMBA IKIPAMBA MOTO.

MIUNDOMINU  ya Barabara Kisiwani Pemba inazidi kuimarika  kwa ujenzi wake  kama barabara hii ya Mtambile Kangani ikiwa imekamilika kwa kiasi  cha asilimia 90 kumalizika kwake ikiwa ni moja ya barabara za Mkoa wa Kusini Pemba zinazojengwa.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.