Habari za Punde

NI MUEMBE AU MWEMBE- WENYE UJUZI TUJUZENI

Kipi ni kiswahili  sanifu katika kuandika neno MUEMBE au MWEMBE kama kwenye mitaa ni Muembe ladu ai Mwembeladu, Muembe Madema au Mwembe Madema, Muembe Beni au Mwembe Beni, Muembe Makumbi au Mwembe Makumbi?

Nadhani katika kutamka hakuna matatizo ila kwenye uandishi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.