WASANII wa Kikundi cha Tausi Taarab wakitumbuiza katika sherehe za Uzinduzi wa Taasisi wa Uchunguzi na Ushauri ya ( ZIRPP ) iliofanyika Ukumbui wa Salama.
MABALOZI wadogo wanaowakilisha Nchi zao Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akitowa nasaha zake kwa Wananchi waliohudhuria sherehe hiyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi Mlezi wa Taasisi ya Uchunguzi na Ushauri Zanzibar (ZIRPP ) Dk. Salim Ahmed Salim. wakati wa Uzinduzi wa Taasisi hiyo leo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi Mwakilishi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Zanzibar Ali Aboud. akipokea kwa niaba ya Mwenyekiti wake.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi Cheti Mwenyekiti wa ZATI Abdulsamad Said.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Map[induzi Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi Cheti Mkurungenzi Mtendaji wa Kampuni ya Multcolour Mohammed Baloo iliyotolewa na Taasisi hiyo.
MTOTO wa Mzee Hassan Nassor Moyo akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho, baada ya kopokea Cheti kwa niaba ya Baba yake, kilichotolewa na Taasisi hiyo.
WADAU wakimsikiliza Rais wa Zanzibar akiwahutubia katika Uzinduzi wa Taasisi hiyo Ukumbi wa Salama Bwawani
VIONGOZI wa Vyama vya Siasa Zanzibar kwakishiriki katika Uzinduzi wa Taasisi ya Uchnguzi na Ushauri Zanzibar ( ZIRPP ).
MLENZI wa Taasisi ya Uchunguzi na Ushauri Zanzibar (ZIRPP) Dk. Salim Ahmed Salim akielezea umuhimu wa Taasisi hiyo katika hafla ya Uzinduzi wake Ukumbi wa Salama Bwawani.
NAIBU Mkurugenzi wa ZIRPP Dk. Ahmeid Gurnah akizungumza katika uzinduzi huo leo
WANANCHI wakiwa katika Ukumbi wa Salama wakishuhudia Uzinduzi wa Taasisi ya Uchunguzi na Ushauri Zanzibar, ( ZIRPP)
MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Uchunguzi na Ushauri Zanzibar Mohammed Yussuf akielezea Taasisi hiyo wakati wa Uzinduzi wa uliofanyika Hoteli ya Bwawani leo.
WANANCHI wakimsikiliza Rais Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi wakati wa uzinduzi wake.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katiksa Picha pamoja na Viongozi na Wafanyakazi wa Taasisi hiyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Wasanii wa Kikundi cha Tausi.kutoka kulia Mariyam Hamdani, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Idd, Dk. Salim Ahmed Salim Mlezi wa Taasisi hiyo Spika Pandu Ameir Kificho na Kiongozi wa Kikundi cha Tausi Mohammed Elys.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed Shein akizungumza na Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Zanzibar na timu ya Malindi Mohammed Mkweche, wakiwa katika viwanja vya Bwawani Hotel, katikati Abdalla Maulid na Nassor Mashoto.
MUANDISHI wa habari wa Gazeti la Mwananchi na Radio DW Salma Sais akizungumza na Naibu Mkurugenzi wa Taasisi ya Uchunguzi na Ushauri Zanzibar ( ZIRPP) baada ya uzinduzi huo wakiwa nje ya Ukumbi.
No comments:
Post a Comment