Habari za Punde

DK SHEIN ASHIRIKI UVUNAJI WA MPUNGA AINA YA NERICA

 Raiswa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na wakulima wa mikoa mitano ya Zanzibar,wakiwa wawakilishi katika uzinduzi wa  Uvunaji wa Mpunga wa mbegu,aina yaNERICA, huko katika shamba la kilimo la  Mbegu hiyo Bambi Mkoa wa Kusini Unguja jana
 Raiswa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali MohamedShein,akisalimiana na Waziri wa Kilimo na Maliasili,Mansour Yussuf Himidi,aliposhiriki katika uzinduzi wa Uvunaji wa Mpunga wa mbegu,aina yaNERICA,huko katika shamba la kilimo la  Mbegu hiyo Bambi Mkoa wa Kusini Unguja jana
 Baadhi ya Maofisa wa Serikali ya Mapinduzi,wakiwa katika  uzinduzi wa Uvunaji wa Mpunga wa mbegu,aina ya NERICA, huko katika shamba la kilimo la  Mbegu hiyo Bambi Mkoa wa KusiniUnguja jana

Raiswa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali MohamedShein,akishiriki katika uzinduzi wa Uvunaji wa Mpunga wa mbegu,aina yaNERICA,huko katika shamba la kilimo la  Mbegu hiyo Bambi Mkoa wa Kusini Unguja jana.

Picha na Ramadhan Othman, Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.