Habari za Punde

SEMINA YA VITAMBULISHO KWA WAWAKILSHI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akifungua semina ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kuhusu Utambuzi wa usajili  na Vitambulisho vya Taifa,katika ukumbi wa  Ocean View Hotel Kilimani Zanzibar jana,(kulia) Makamo wa Pili wa Rais Balozi Sei Ali Iddi na Spika wa Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya utambuzi na usajili wa Vitambulisho vya Taifa, Dickson Maina,akizungumza  akitoa taarifa kuhusiana na mamlaka ya vitambulisho wakati wa ufunguzi wa Semina kwa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi iliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein
 Baadhi ya watendaji wa Mamlaka ya utambuzi na usajili wa vitambulisho vya Taifa (NIDA) wakisikiliza kwa makini hotuba iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akifungua semina ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kuhusu Utambuzi wa usajili wa Vitmbulisho vya Taifa,katika ukumbi wa  Ocean View Hotel Kilimani Zanzibar jana
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein akitoa hotuba yake katika ufunguzi wa Semina ya wajumbe hao inayohusu usajili wa vitambulisho vya Taifa,iliyoandaliwa na Mamlaka  ya  Utambuzi na Usajili  vitambulisho vya Taifa,(NIDA) katika ukumbi wa Ocean View Hoteli Kilimani Zanzibar

Na Ramadhan Othman, Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.