Habari za Punde

BARABARA YA AMANI DUNGA MAMBO SASA IKIENDELEA NA UJENZI

 MAFUNDI wa kampuni inayojenga barabara ya Amani Dunga wakiweka nondo  kujenga  daraja jipya la Mwera Polisi ikiwa ni ujenzi wa barabara hiyo mpya inayoendelea  kwa kasi karibu eneo kubwa la barabara hiyo tayari limeshawekwa lami.
HII ndiyo barabara ya Amani Dunga ikiwa imewekewa lami laini kwa kusubiri kuwekwa lami rasmi ikiwa katika eneo la masingini.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.