Habari za Punde

WATU WASIOJULIKANA USIKU WA KUAMKIA LEO WAMEITIA MOTO BAR YA KWA KIMTI GYMKHANA


 MABAKI ya sehemu ya Bar hiyo ambayo imeunguwa jana  majira ya saa mbili za usiku. 



Sehemu ya Bar ya kimti iliyotiwa moto na watu wasiojulikana jana usiku

2 comments:

  1. Jamani hii sio sawa!tusizuie maovu kwa njia hizi.
    Hii nchi ina sheria,mimi naamini Kimti haendeshi baa bila ya leseni,na kama anauza pombe ramadhani ni suala la vyombo vinavyo husika kutoa tahadhari kwa wamiliki wa mabaa(local bars)
    kuacha kufanya hivyo mwezi huu.Ndugu zangu kwa muda mrefu, Z'bar tunaonekana eti tuna misimamo mikali ya kidini,kwanini tunampa adui nafasi? ramadhani karim!

    ReplyDelete
  2. Brother maneno yako sadakta,Unajua mitaani kuna vijana wengi waliokimbia schooli na madrassa wanadhani kufanya vitendo kama hivyo ndio uchamungu?..ramadhani kama hii eh..,badala ya kuzidisha kusoma kur'ani,kisimama usiku kutafuta lailatul kadri, kuleta istighfari kwa wingi,kuongeza ikramu kwa watu na kutafuta skukuu wanafanya upuuzi.Mimi naona wakamatwe na wachukuliwe hatua kali wasituharibie Nchi au..je?

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.