Habari za Punde

BALOZI AMINA AKIPOKEA TUNZO

BALOZI Amina Salum Ali akipokea tunzo kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Waafrika waishio Marekani(UACO), Ayub Mfinanga (mwenye vazi jeupe) wa Detroit, nchini Marekani katika sherehe zilizofanyika siku ya Jumamosi. Wamezungukwa na viongozi wa jumuiya mbalimbali za Waafrika kwenye Jimbo la Michigan mwishoni mwa wiki. (Picha kwa hisani ya UACO).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.