Habari za Punde

BREAKING NEWS

TAARIFA AMBAZO ZIMETUFIKIA HIVI SASA KUTOKA SAUDI ARABIA NA KUTHIBITISHWA NA JAMAA WA KARIBU ZINAELEZA KUWA ALIYEWAHI KUWA NAIBU WAZIRI KATIKA SERIKALI YA AWAMU YA KWANZA YA SERIKLI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR BW. AHMED  BADAWI   QULLATENI AMEFARIKI LEO ASUBUHI WAKATI AKIWA KATIKA IBADA YA HIJJA HUKO MADINA.

TAARIFA HIZO ZINAELEZA ZAIDI KUWA MAREHEMU ATAZIKWA LEO HUKO HUKO SAUDI ARABIA ALASIRI. MUNGU AMLAZE MAHALI PEMA PEPONI  AMIN

1 comment:

  1. Kaka mapara vipi,hatuwezi kupata picha ya huyo marehamu? ua kama kuna mdau mwenye data zake, kwa vile sisi wengine kwa umri wetu hatumkumbuki!..mambo haya mwenyewe alikua mzee ALI NABWA..Mungu amlaze pema.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.