Habari za Punde

HARAKATI ZA KUTAFUTA RIZIKI

KIJANA huyu akiwa na shehena ya mzigo ukikokotwa na ngombe bila ya kujali uwezo wake na kukiuka haki za wanyama kuwachukulisha mizigo kupitakiasi na mwenyewe akiwa amesimama juu.
MALI bila ya hesabu huliwa bila ya kujuwa, ndivyo inavyoonekana akisema Mjasiriamali huyu akihesabu mafungu wa machungwa yake jinsi yakurejesha mtaji wake na kuendelea na Biashara yake ili kujiengezea kipato kuupiga vita umasikini. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.