Habari za Punde

KIKAO CHA BARAZA LA WAWAKILISHI

 MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akitowa Taarifa yua Serikali juu ya tukio la kuzama kwa Meli ya Mv Spice mwezi uliopita, kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, katika kikao kinacheendelea.  
Mwakilishi wa Jimbo la Kwamtipura Hamza Hassan  kulia na Mwakilishi wa jimbo la Muyuni Jaku, wakiwa nje wa ukumbi wa mkutano wakibadilishana mawazo jana. 

Muandishi wa habari wa gazeti la Nipashe, Mwinyi Saadala akizungumza na Mwakilishi wa Jimbo la Muyuni Jaku bada ya kikao cha asubuhi kumalizika
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Mbarouk Mtando (Mkwajuni) na Dk.Mwinyihaji Makame (Dimani )wakifurahia jambo wakitoka katika chumba cha mkutano wa Baraza jana asubuhi. 
Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu Zanzibar, Hamad Masoud akizungumza na waandishi wa habari wanaofuatilia kikao cha baraza, Mwantanga Ame na Nafisa Madai.
Wajumbe waBaraza kulia Salmini Awadh Magomeni na Ali Salum wa Kwahani wakibadilishana mawazo baada ya kumalizika kikao cha asubuhi.

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Pandu Ameir Kificho akitoka kwa bwaride katika chumba cha Mkutano wa Bazara Wawakilishi, baada ya kumalizika kikao cha asubuhi kupitisha mswada na maswali na majibu.

1 comment:

  1. Kaka mbona picha bila maelezo tena! wengine tupo mbali kidogo,baadhi ya wanasiasa hatuwajui vyema.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.