Habari za Punde

LIGI DARAJA LA PILI WILAYA YAMJINI UNGUJA. LAANGASTA NA UNIVESITY

 MSHAMBULIAJI wa timu ya Langasta,Salum Oswad akimpita beki wa timu ya University Haji Hassan katika mchezo wa ligi daraja la Pili Wilaya ya Mjini, mchezo uliofanyika uwanja wa Mao timu Langasta imeshinda 3-1.    

 MSHAMBULIAJI wa timu ya University Abdul Juma akimiliki mpira katika mchezo wa ligi daraja la pili Wilaya ya Mjini, beki wa timu ya Langasta akijaribu kumzuiya timu ya Langasta imeshinda 3 -1.

 MCHEZAJI wa timu ya Univesity Idrisa Ali akimpita mlinzi wa timu ya Langasta Salum Oswad, katika mchezo wa ligi daraja la Pili Wilaya ya Mjini mchezo uliofanyika uwanja wa Mao, timu ya Langasta imeshinda 3 – 1.

2 comments:

  1. kaka habari, naomba tutaarifu hii timu ya University ni ipi mana kwangu ni mpya na zaidi kwa sasa znz kuna vyuo vingu... au jina la timu ya mtaani tu.

    ReplyDelete
  2. Hiyo ni timu ya mtaani kaka, Maskani yake ni Magogoni

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.