Habari za Punde

MCHEZO WA KIRAFIKI SWISS VETERAN NA TIMU YA TAIFA YA ZANZIBAR.

MCHEZAJHI wa timu ya Taifa ya Zanzibar akiwapita wachezaji wa timu ya Swiss Veteran katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa uliofanyika katika uwanja wa mao timu ya Taifa ya Zanzibar imeshinda  2-0.  
 HIVI ndivyo ilivyokuwa Vijana wa Timu ya Taifa ya Zanzibar ilivyowaendesha kapa wachezaji wa timu ya Swiss Veteran
 MSHAMBULIAJI wa timu ya taifa ya Zanzibar akimpita beki wa timu ya Swiss Veteran katika mchezo wa Kirafiki wa Kimataifa uliofanyika Uwanja wa Mao timu ya Taifa ya Zanzibar imeshinda 2-0
 MSHAMBULIAJI wa timu ya Swiss Veteran akimpita beki wa timu ya Taifa ya Zanzibar katika mchezo wa kirafiki uliofanyika uwanja wa Mao.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.