Habari za Punde

DK SHEIN AZUNGUMZA NA WANAHABARI KUHUSU MAFANIKIO YA MWAKA MMOJA TOKEA KUINGIA MADARAKANI




Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Waandishi wa Habari wa Bara na visiwani,kuhusu mafanikio ya mwaka mmoja tokea kushika nafasi ya Urais wa Zanzibar,Ikulu Mjini Zanzibar.
Waandishi wa Habari wa vyombo mbali mbali Bara na Visiwani wakimskiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) alipozungumza na Waandishi wa Habari wa Bara na visiwani,kuhusu mafanikio ya mwaka mmoja tokea kushika nafsi ya Urais wa Zanzibar,Ikulu Mjini Zanzibar.




Mwandishi wa habari wa Chanal Ten,Munir Zakaria,amuuliza Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,suala la Utumiaji wa Gari za serikali zinazotumiwa nje ya wakati wa kazi,alipozungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali Bara na Visiwani,Ikulu Mjini Zanzibar jana,kuhusu mafanikio ya DK Shein katika kipindi cha mwaka mmoja tokea kuchaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar.
>Mwandishi wa Habari Mwandamizi wa Gazeti la Jamboleo Asha Kigundula akiuliza suala kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,alipozungumza na Waandishi wa Habari wa Bara na visiwani,kuhusu mafanikio ya mwaka mmoja tokea kushika nafsi ya Urais wa Zanzibar,juu ya udhamini wa Pombe kwa timu za zanzibar,Ikulu Mjini Zanzibar

Mhariri wa Gazeti la Daily News,Mkumba Ali ,akiuliza suala kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Waandishi wa Habari wa vyombo mbali mbali, Bara na visiwani,kuhusu mafanikio ya mwaka mmoja tokea kushika nafsi ya Urais wa Zanzibar,Ikulu Mjini Zanzibar.

Picha na Ramadhan Othman, Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.