Habari za Punde

HARAKATI ZA KUZIMA MOTO GARI MICHEZANI.


WANANCHI wakiwa katika harakati za kulizima moto gari aina ya Suzuki Carry, ikiwaka moto katika mtaa wa Michezani kutoka na harakati za kiufundi wakati alipokuwa akirekebisha. hitilafu zilizojitokeza. Hakuna mtu aliyejeruhiwa katika ajali hiyo jana.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.