Magari yakipita katika daraja la zamani katika barabara ya Mwera ambalo bado linatowa huduma kwa watumiaji wa barabara hiyo wakisubiri kumalizika kwa daraja jipya jirani na hilo la zamani.
Daraja jipya linaloendelea na ujenzi wake chini ya mjenzi anaejenga barabara ya Amani Dunga kampuni ya MECCO, likiwa katika hatuwa za mwishomwisho kumalizika kwa ujenzi wake na kutowa huduma kwa Wananchi wa maeneo ya Kiboje, Chwaka, Urowa na Bambi, watafaidika na daraja hilo.
No comments:
Post a Comment