Khalid Ali Maursal wa timu ya Somalia akiruka juu kuokoa mashabulizi kutoka kwa washabuliajiwa timu ya Zanzibar Heroers kwenye uwanja wa Taifa.
Mchezaji wa timu ya Somalia Abdi Azizi akichuana na mchezaji wa timu ya Zanzibar Heroers Juma Othman wakati wa mchezo wao wa kuwania kombe la TUSKER CECAFA CHALLENGE CUP kwenye uwanja wa Taifa leo
Mchezaji Amir Hamad wa Zanzibar Heroers akimtoka mchezaji wa timu ya Somalia Kassim Ali Mursal wakati timu hizo zilipopepetana kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam katika michuano ya kombe la TUSKER CHALLENGE CUP 2011, Timu ya Zanzibar Heroers imeifunga Somalia magoli 3-0.
(PICHA NA MOHAMED MAMBO) kupitia fullshangwe blog
No comments:
Post a Comment