Habari za Punde

MAPINDUZI CUP YANGA NA MAFUNZO

Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk. Amani Abeid Karume, mgeni rasmin katika mchezo wa Ufunguzi wa michuano ya Mapinduzi Cup, kati ya Yanga na Mafunzo timu ya Mafunzo ya Zanzibar imeshinda 1-0   
Mfadhili wa timu ya Azam Omar Bakressa akifuatilia mchezo kati ya Yanga na Mafunzo.uliochezwa usiku jana.  


Hivi ndivyo ilivyokuwa katika mchezo wa Mapinduzi Cup,

1 comment:

  1. Hii picha inaonesha kama 'Monsieur Jihad' anasinzia,..au ndio amechoka?

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.