Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiongozana na Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohd Shein na mkewe Mama Mwanamwema Shein, mara baada ya Dkt Shein na ujumbe wake kuwasili uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Dar Es Salaam wakitokea nchini Uingereza jana 22/01/2012.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohd Shein akiongozana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad , mara baada ya Dkt Shein na ujumbe wake kuwasili uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Dar Es Salaam wakitokea nchini Uingereza jana 22/01/2012
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, mara baada ya Dkt Shein na ujumbe wake kuwasili uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Dar Es Salaam wakitokea nchini Uingereza jana 22/01/2012
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohd Shein akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad , mara baada ya Dkt Shein na ujumbe wake kuwasili uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Dar Es Salaam wakitokea nchini Uingereza jana 22/01/2012.
No comments:
Post a Comment