Habari za Punde

Mitihani kwa Watoto Mafundisho ya Dini ya Kiislam.

 Wanafunzi wa Madrasatul Sunna ya Rahaleo wakifanya mtihani wa Dua ili kupata kujuwa uweleo wao katika mafundisho ya Dini ya Kiislam, wakifanya mitihani hiyo katika Masjid Sunna Rahaleo kwa Bachu. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.