Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohaed Shein, akisalimiana na Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar Mohammed Hashim, alipowasili katika viwanja vya Jengo Jipya la ZRB,mazizini kwa ufunguzi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiondowa kipazia kuashiria kuweka jiwe la Msingi la uzinduzi wa Jengo jipya la ZRB mazizini.anaefuata Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha Uchumi na Mipango na Maendeleo Omar Yussuf Mzee, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdallah Mwinyi Khamis.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuzinduwa Jengo la Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB)lilioko Mazizini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein. akitowa nasaha zake kwa Wafanyakazi wa Bodi ya Mapato Zanzibar, baada ya kufanya uzinduzi wa jengo hilo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha Uchumi Mipango na Maendeleo Omar Yussuf Mzee, akitowa machache kuhusu mafanikio ya Wizara yake, katika sherehe za Uzinduzi wa Jengo la ZRB Mazizini.
Kamishna wa ZRB Mohammed Hashim Ismail, akitowa maelezo kuhusiana na Ujenzi wa Jengo hilo na Mafanikio ya ZRB ya ukusanyaji wa Kodi Zanzibar.
Mabalozi Wadogo wanaowakilisha Nchi zao Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia katika sherehe za Uzinduzi.
Walipa Kodi wa Zanzibar wakihudhuria sherehe za ufunguzi wa Jengo la ZRB,
Wafanyakazi wa ZRB, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akitowa nasaha zake kwao baada ya kuwazinduliwa jingo lao.
No comments:
Post a Comment