Mshambuliaji wa timu ya Azam Kipre Tchetche, akimpita beki wa timu ya Kikwajuni Mohammed Faki, katika mchezo wa Mapinduzi Cup uliofanyika uwanja wa Amani, timu ya Azam imeshinda 3-1
Beki wa timu ya Azam Agrey Moris, akiokowa mpira mbele ya mshambuliaji wa timu ya Kikwajuni Omar Said,
Wapenzi wa mpira Zanzibar wakiwa katika jukwaa la Urusi wakiangalia mechi ya Ufunguzi karti ya Azam na Kikwajuni, timu ya Azam imeshinda 3-1
Mshambuliaji wa timu ya Kikwajuni Hassan Seif, akimpita beki wa timu ya Azam Elasto Nyoni,katika mchezo wa ufunguzi wa Mapinduzi Cup, timu ya Azam imeshinda 3-1
Hapa kazi tu.. ndivyo inavyoonekana wakisaema mshambuliaji wa timu ya Kikwajuni Hassan Seif (kushoto) na beki wa timu ya Azam Elasto Nyoni.
Mgeni rasmin wa Mchezo wa Ufunguzi kati ya Azam na Kikwajuni, Mwakilishi wa Jmbo la Rahaleo Nassor Salim Jazira, Katibu Mkuu Wizara ya Habari Ali Mwinyikai, Mke wa Mwakilishi Zuhura Mgeni Mwalimna kulia Mwenyekiti wa ZFA Wilaya ya Mjini Hassan Haji (Chura)
No comments:
Post a Comment