Habari za Punde

WANAJESHI WAPATA AJALI FUONI


Wananchi wakitowa msaada kumsaidia mmoja wa Askari  wa JWTZ,aliyepata majaraha katika ajali hiyo iliotokea katika maeneo ya Fuoni Wilaya ya Magharibi Unguja.
Wananchi wakiwapandisha katika gari majeruhi wa ajili ya Gari la JWTZ,iliotokea maeneo ya Fuoni, kwa mujibu wa mashuhuda walioshuhudia ajali hiyo inasemekana gari hiyo imewakwepa wapanda baskeli na kusababisha ajili hiyo.katika ajali hiyo Askari mmoja mefariki. na majeruhi kulazwa hospitalini.  
Wananchi wakiliagalia Gari la JWTZ lilopata ajali kati barabara ya Fuoni  
Wananchi wakitowa msaada kwa Wanajeshi waliopata ajali katika barabara ya Fuoni, gari yao kupinduka baada ya kumkwepa mpanda baskeli, kwa mujibu wa habari za wasamaria walioshuhudia ajali hiyo, na kusababisha gari hiyo kupinduka
Hili ndilo eneo la tukio la ajali iliyowakumba Wanajeshi wa JWTZ kwa mbali likonekana gari la JWTZ pamoja na waanchi waliokuwa wakitoa msaada na wengine wakishuhudia

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.