Habari za Punde

Merck Yatowa Msaada wa Madawa



Naibu Waziri wa Afya wa Zanzibar,Dk. Sira Ubwa Mamboya (kulia) akipokea msaada wa madawa ya kupambana na ugonjwa wa kipindupindu kutoka kwa Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya madawa ya kijerumani iitwayo Merck Dr. Karl Ludwig Kley



Mwanafunzi wa Skuli ya Ngwachani iliyopo Zanzibar, Selemani Saleh akinywa dawa ya kichocho kuashiria uzinduzi wa kampeni ya kupambana na ugonjwa huo iliyozinduliwa na Naibu Waziri wa Afya wa Zanzibar,Dk. Sira Ubwa Mamboya (mwenye kilemba).kushoto kwake ni Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya madawa ya kijerumani iitwayo Merck Dr. Karl Ludwig Kley

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.