Habari za Punde

Dk Shein Ahudhuria Maziko ya Mama wa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(wa nne kushoto) akijumuika na waislamu wengine katika kumswalia Marehemu Mama Mzazi wa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Yakuti Hassan Yakuti,(wa pili kushoto) swala hiyo iliyoongozwa na Naibu kadhi Mkuu wa Zanzibar,Sheikh Hassan Othman Ngwali,katika Msikiti wa Ijumaa wa Meli tano Fuoni Wilaya ya Magharibi Unguja jana.

Picha na Ramadhan Othman, Ikulu

Picha na Ramadhan Othman IKULU.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.