Habari za Punde

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan afungua Mkutano Maalum wa CCM Taifa Jijini Dodoma

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali kwenye Mkutano Maalum wa Chama hicho uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC) Jijini Dodoma tarehe 29 Mei,2025. 
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia kabla ya kufungua Mkutano Maalum wa Chama hicho uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC) Jijini Dodoma.


















 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.