Habari za Punde

Uzinduzi wa Kituo cha Kulipia Bili za Maji cha ZAWA Kijito Upele.

 WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano Tanzania, Samia Suluhu Hassan ,akifungua kipazia  kuashiria ufunguzi wa kituo cha malipo ya maji na huduma kwa wateja cha Kijito Upele Wilaya ya Magharibi, ufunguzi huo unakwenda sambamba na wiki ya maji Zanzibar.
Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu waKwanza  Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akilipa bili yake ya matumizi ya maji muda mfupi baada ya kukifungua kituo cha malipo ya maji cha Kijitoupele Wilaya ya Magharibi Unguja.

WANANCHI wa Kitoupele(kushoto) akiulizia bili yake ili aweze kulipia huduma ya maji katika kituo cha kulipia maji cha kijitoupele muda mfupi baada ya kufunguliwa.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.