MKUU wa Kitengo cha Ushoni katika Kituo cha Mafunzo ya Amali cha Mwanakwerekwe,Maryam Sineni (kulia) akitowa maelezo kwa Ujumbe wa Kamati ya Wazee ilipofanya ziara ya kutembelea Vituo vya Amali Unguja baada ya uzinduliwa wa kamati hiyo uliofanyika katika ukumbi wa kituo hicho Mwanakwerekwe.
MKUU wa kitengo cha Useremala katika kituo cha mafunzo ya amali cha Mwanakwerekwe, Mohammed Juma (kushoto) akiwapatia maelezo wajumbe wa kamati ya wazee wa kituo hicho muda mfupi baada ya kuzinduliwa kwa kamati hiyo katika ukumbi Mwanakwerekwe.
Hongera zake mw. Shamsi(mwenye shati ya bluu)
ReplyDeleteMzanzibari wa kwanza kufungua kituo cha ushoni na kukiunganisha na mitihani ya VETA.
Mungu ambariki na amlinde na fitna za wahadimu..
manake wanaweza kesho na kesho kutwa wakamchagua SHEHA na akikataa wakamletea 'mizengwe'
...Yaani kama si mhadimu vile!..na huwezi kuamini ni MTAALAM wa michezo pia (Physical Education).